Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

TAASISI YA USULUHISHI WA MALALAMIKO NA TAARIFA ZA KODI

"Haki na Usawa"

Kanusho

Tovuti na maelezo haya hutolewa bila udhamini wa aina yoyote, unaodokezwa, ulio wazi au wa kisheria. Ofisi ya Usuluhishi na taarifa za kodi (TOST) haitawajibikia hasara au uharibifu wowote unaosababishwa na matumizi ya taarifa yoyote inayopatikana kutoka katika tovuti hii. Tovuti hii na taarifa hutolewa bila udhamini wa aina yoyote, unaodokezwa, ulio wazi au wa kisheria.